JIFUNZE KINGEREZA HAPA (UTANGULIZI)
FREE ONLINE ENGLISH LEARNING FOR SWAHILI SPEAKERS (FOEL) KARIBU KATIKA FREE ONLINE ENGLISH LEARNING FOR SWAHILI SPEAKERS ( FOEL ), HII NI KWA WALE WAZUNGUMZAJI WA LUGHA YA KISWAHILI WALIO NA LENGO LA KUJUA KUZUNGUMZA LUGHA YA KINGEREZA VYEMA. UTATAKIWA KUFUATA MUONGOZO HUU AMBAO UTAKUSAIDIA UTAKAPOKUA UNAFANYA MAZOEZI YA KUZUNGUMZA LUGHA YA KINGEREZA. MAMBO MUHIMU YA KUYAJUA: KATIKA FOEL TUTAKUWA NA HATUA 3 HATUA YA 1 TUTAJIFUNZA KINGEREZA KWA KUTUMIA KISWAHILI PIA HATUA YA 1 TUTAJIFUNZA MAMBO AMBAYO YATATUPA MSINGI KAMA VILE SALAMU,NAMNA YA KUJITAMBULISHA, KUSOMA NA KUTAJA MUDA,MIAKA N.K HATUA YA 2 TUTAJIFUNZA NYAKATI (TENSES) HATUA YA 3 TUTAJIFUNZA NAMNA MANENO MBALIMBALI YANAVYOTUMIKA NA KATIKA MAENEO GANI YANAPASWA KUTUMIIKA. KATIKA HATUA YA 3 LUGHA ITAKAYOTUMIKA KUJIFUNZIA NI KINGEREZA. KARIBU.......